Maarufu
Michezo yote
Mipangilio
Lugha:
-
Swahili
-
English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
Hatua tatu kutumia bonasi yako ya ukaribisho:
1. Weka pesa kwa angalau TZS 100.
2. Zungusha pesa uliyoiweka yote kwa pamoja kwenye mkeka wa mechi 2+ na kwa zisizopungua 3.50.
3. Punde mkeka utakapowekewa matokeo yake, utapata mkeka wa bure wenye thamani ya nusu ya pesa uliyoweka kwa mara ya kwanza hadi TZS 25,000.
For the bettor.
10bet itathamini unawaji mikono yako kabla ya kugusa app ya 10bet kwa sababu kitu hicho ni kipya kabisa.
Tulikuwa na wazo la kutengeneza programu nzuri, lakini sasa wazo hilo limekuwa ukweli wa kushangaza.
Ni mpya, tunaipenda, na bila shaka utaipenda pia.
For the bettor.
Hatua mbili za rejesho lako la wiki:
1. Beti mkeka wa mechi moja au zaidi kwenye mchezo wowote(odds zisizo pungua 2.50+).
2. Beti zikiwekewa matokeo, utapokea beti ya bure ya 30% ya mkeka wako.
For the bettor
Hatua tatu za ongezeko la odds zako:
1. Bashiri mkeka wa mechi 3+.
2. Jinsi unavyozidisha chaguzi kwenye mkeka, ndivyo unapata asilimia kubwa za ongezeko. Mfano. chaguzi 3 = bonasi 3%; chaguzi 4 = bonasi 5%; chaguzi 5 = bonasi 7%… na kuendelea … hadi bonasi ya 1,000% kwa kuchagua mechi 50.
3. Ndio hivyo. Kila la kheri!
For the bettor.
Hatua 3 kwenye Lotto Jackpot ya mpira wa miguu:
1. Lipia TZS 700 kushiriki.
2. Bashiri timu ya nyumbani kushinda, au droo au timu ya ugenini kushinda kwa mechi 12.
3. Ukibashiri kwa usahihi michezo 12 utashinda TZS 100,000,000. Kama ukibashiri kwa usahihi michezo 11/12 au 10/12 utashinda sehemu ya jackpot.
For the bettor.
Hatua tatu za kwenye gawio lako la Jackpot:
1. Weka pesa kwenye akaunti yako ya 10bet siku za kazi.
2. Bashiri matokeo ya magoli halisi ya mechi sita.
3. Endapo utapatia kubashiri kwa 6/6 matokeo ya magoli halisi, utakuwa umejishindia kiasi chote cha TZS 20,000,000 cha jackpot. Ukipatia kwa usahihi 5/6 matokeo ya magoli halisi, utajishindia gawio kutoka TZS 20,000,000 jackpot.
For the bettor.
Hatua tatu za kupata gawio lako la loto jackpot ya soka:
1. Lipa kiingilio cha TZS 500.
2. Bashiri wanyumbani ashinde, watoke sare au waugenini ashinde kwa mechi 10.
3. Ukipatia ubashiri wa 10/10 utajishindia kiasi kizima cha TZS 11,000,000 cha jackpot.
For the bettor.
10bet inayofuraha kuwa mdhamini wa Dodoma Jiji kwenye Ligi kuu ya Tanzania.
Timu hiyo kutoka Dodoma inayovalia bluu na nyeupe pia itavaa nembo ya 10bet msimu huu inapokwenda kuwania ubingwa Tanzania.
1. Droo ya Bahati imefika kikomo! Unaweza kuwasiliana na watoa huduma wetu na kujua umevuna tiketi ngapi.
2. Droo ya Bahati itafanyika Jumatano, Mei 25. Washindi watapewa taarifa kwa njia ya SMS.
3. Wasiliana na watoa huduma wetu ili kujua jinsi ya kudai zawadi yako. Zawadi zitawafikia kuanzia tarehe 31 Mei, 2022.
For the bettor.