App ya kubashiri ya 10bet Tanzania

Jinsi ya kupakua na kuingiza App ya 10bet kwenye system ya Android?

Kupakua na kuingiza APP yetu ni rahisi. Inafanya kazi saw ana APP nyingine, na unatakiwa tu kuruhusu kuingiza kutoka kwenye vyanzo visivyo julikana ili kufanya kazi. Kma hujawahi kufanya hivyo hapo awali, tutakuelezea hapa chini.

Fuata hatua hizi ili kuingiza App kwenye simu yako:

1

Bofya kitufe cha kupakua.

2

Mara baada ya faili la APK kuwa kwenye simu yako, bofya kufungua.

3

Kama simu haitaruhusu uingiaji kuendelea, nenda kwenye mipangilio/Settings ya simu yako.

4

Tembelea usalama/Security, kisha nenda kwenye Utawala wa kifaa/Device Administration.

5

Ruhusu chaguzi/option ya vyanzo visivyo julikana.

6

Rudi kwenye faili la APK na uingize tena.

7

Mara itakapo kamilika, fungua APP, kisha Jisajili au Ingia kwenye akaunti yako.