Sisi ni 10bet.
Waendeshaji wa michezo ya kubashiri na Kasino iliyoanzishwa mwaka 2003. Hapa 10bet tunachukulia ubashiri tofauti.
Sio "bora" au "mbaya " .... ukweli… Ni Bora.
Tunajumuisha michezo zaidi ya 60 na maelfu ya masoko, na tunazichangamsha na ubashiri wa bure kila siku, kitu ambacho hautapata mahali pengine popote (isipokuwa katika programu ya 10bet).
Tungependa kukuambia kuhusu kasino yetu pia, lakini ikiwa tutaanza kuzungumza kuhusu marundo ya meza mubasharana nafasi nyingi mpya, ofa maalum… unaona? Hatuwezi kuacha.
Ni vizuri endapo utaangalia mwenyewe.
Kwa kuwa kauli mbiu yetu ni ya "kwa ubashiri bora", kila kitu tunachofanya au tusichofanya ni kunatokana na ustawi wa wateja wetu. Hivyo basi, tutaacha kupoteza muda wako wa thamani kwa ajili ya utambulisho ili tufanye biashara.
1. Ujumuishwaji mkubwa wa michezo na matukio.
Masoko yetu ya kubashiri yanajumuisha kila kitu kuanzia Ligi ya Mabingwa hadi Ubingwa NFL hadi NBA, mbio za mbwa hadi farasi, mpira wa magongo hadi polo ya maji ... mchezo wowote uujuao, tunao. .
2. Bashiri Mubashara
Kila wakati unayotumia kusoma huu ni wakati ambao unakosa mechi nyingi za moja kwa moja ambazo zinafanyika hivi sasa - zote zikiwa na takwimu za moja kwa moja na malipo ya papo hapo. Kwa hivyo soma haraka.
3. Maudhui yenye Ubunifu
"Ah, hii huduma ni nzuri!" ni jambo ambalo utalisema sana, kwa hivyo jaribu kubadilisha maneno mara moja kwa wakati ili usichoke. Sio kwamba unaweza kuchoshwa na huduma zetu e nzuri za kila siku.
4. Uwanja Mpana wa Nafasi (inakujia hivi karibuni)
Ili kufurahia nafasi zetu zote, lazima muwe wengi. Mtu mmoja peke yake hawezi kushiriki kwenye nafasi hizi zote.Tunajua ni vitufe,lakini hatukuweza kukwepa pun.
5. Jackpot za Hali ya Juu
Je! Unaweza kusikia "Ding-Ding-Ding" na sauti ya kupendeza ya "ka-ching"?
Sivyo!, kwa sababu uko katika sehemu ya "kuhusu sisi" na sio kwenye kasino yetu yenye kung'aa, yenye kupendeza.
6. Promosheni bora na mpango wa VIP
Bonasi yetu ya kukaribisha inashawishi sana lakini kitakachokufanya ujisikie nyumbani ni mtiririko wa upakiaji wa mara kwa mara, bashiri za bure na zawadi nyingi.
7. Uhakika wa Usalama wako
Wateja wetu wanatuamini kushughulikia maelfu ya miamala kila siku, kwa kutumia majina ya kuaminika katika biashara. Kulinda data yako ni kipaumbele chetu. Na hakuna utani hapa.
8. Kubashiri kwa uwajibikaji, kila wakati
Furaha kubwa huja jukumu kubwa. 10bet imepewa leseni na mamlaka ya leseni ina nyenzo mbalimbali ambazo zinakudhibiti. Kwetu, kuwa mbashiri/mteja kunamaanisha kwenda mbali zaidi ili kuhakikisha kuwa unafurahiya michezo yetu kwa kiasi, salama na kwa udhibiti.
9. Rahisi kutumia
Odd nzuri pamoja na mazingira mazuri ya kubashiri ni vitu vizuri sana lakini hatuishii haoa bwana!!. Jukwaa letu la rununu linahakikisha unafurahiya 10bet wakati wowote, mahali popote. Kuanzia kwenye malipo, picha na lugha nzuri , tunafanya kila kitu ili kufanya 10bet iwe ya haraka, rahisi, maridadi na nzuri kutumia.
10. Mguso wa Mwisho: Moyo na Nafsi
Kwetu, hii ni zaidi ya biashara - ni njia nzuri ya kuleta raha na furaha kwenye kwa maisha ya wateja wetu. Tunapenda sana michezo ya kubashiri na tutaendelea kufanya kila tuwezalo kuboresha. Ikiwa una maoni, tutakusilikiza..
Inavyoonekana, tunaongea sana. Tumeongea vya kutosha, sasa, wacha michezo ianzewote walikuwa mdomo pia, wakiongea vya kutosha na wacha michezo ianze!
10beti. Kwa Wabashiri Bora.