M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
07/05/2021 - 02:16 PM
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.

Maswali Yanayoulizwa Sana

Ujumuishwaji mkubwa wa michezo na matukio.

Masoko yetu ya kubashiri yanajumuisha kila kitu kuanzia  Ligi ya Mabingwa hadi Ubingwa NFL hadi NBA, mbio za mbwa  hadi farasi, mpira wa magongo  hadi polo ya maji ... mchezo wowote uujuao, tunao. .

 

Bashiri Mubashara

Kila wakati unayotumia kusoma huu ni wakati ambao unakosa mechi nyingi za moja kwa moja ambazo zinafanyika hivi sasa - zote zikiwa na takwimu za moja kwa moja na malipo ya papo hapo. Kwa hivyo soma haraka.

 

Maudhui yenye Ubunifu

Ah, hii huduma ni nzuri!" ni jambo ambalo utalisema sana, kwa hivyo jaribu kubadilisha maneno mara moja kwa wakati ili usichoke. Sio kwamba unaweza kuchoshwa na huduma zetu e nzuri za kila siku.

 

Uwanja Mpana wa Nafasi (inakujia hivi karibuni)

Ili kufurahia nafasi zetu zote, lazima muwe wengi. Mtu mmoja peke yake hawezi kushiriki kwenye nafasi hizi zote.Tunajua ni vitufe,lakini hatukuweza kukwepa pun.

 

Jackpot za Hali ya Juu

Je! Unaweza kusikia "Ding-Ding-Ding" na sauti ya kupendeza ya "ka-ching"?

Sivyo!, kwa sababu uko katika sehemu ya "kuhusu sisi" na sio kwenye kasino yetu yenye kung'aa, yenye kupendeza.

 

Promosheni bora na mpango wa VIP

Bonasi yetu ya kukaribisha inashawishi sana lakini kitakachokufanya ujisikie nyumbani ni  mtiririko wa upakiaji wa mara kwa mara, bashiri za bure na zawadi nyingi.

 

Uhakika wa Usalama wako

Wateja wetu wanatuamini kushughulikia maelfu ya miamala kila siku, kwa kutumia majina ya kuaminika katika biashara. Kulinda data yako ni kipaumbele chetu. Na hakuna utani hapa.

 

Kubashiri kwa uwajibikaji, kila wakati

Furaha kubwa huja jukumu kubwa. 10bet imepewa leseni na mamlaka ya leseni ina nyenzo mbalimbali ambazo zinakudhibiti. Kwetu, kuwa mbashiri/mteja kunamaanisha kwenda mbali zaidi ili kuhakikisha kuwa unafurahiya michezo yetu kwa kiasi, salama na kwa udhibiti

 

Rahisi kutumia

Odd nzuri pamoja na mazingira mazuri ya kubashiri ni vitu vizuri sana lakini hatuishii haoa bwana!!. Jukwaa letu la rununu linahakikisha unafurahiya 10bet wakati wowote, mahali popote. Kuanzia kwenye malipo, picha na lugha nzuri , tunafanya kila kitu ili kufanya 10bet iwe ya haraka, rahisi, maridadi na nzuri kutumia.

 

Mguso wa Mwisho: Moyo na Nafsi

Kwetu, hii ni zaidi ya biashara - ni njia nzuri ya kuleta raha na furaha kwenye kwa maisha ya wateja wetu. Tunapenda sana michezo ya kubashiri na tutaendelea kufanya kila tuwezalo kuboresha. Ikiwa una maoni, tutakusilikiza..

Inavyoonekana, tunaongea sana. Tumeongea vya kutosha, sasa, wacha michezo ianzewote walikuwa mdomo pia, wakiongea vya kutosha na wacha michezo ianze!

10beti. Kwa Wabashiri Bora.

 

Jinsi ya kuweka bashiri ya jackpot?

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya 10BET na bofya kwenye bango lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

 • Ili kuweka bet ya Jackpot, bofya kwenye timu unayotabiri ishinde. Bofya kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).
 • Kama unataka kutabiri kuwa matokeo ya mchezo yatakuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili na chagua X (SULUHU).
 • Chagua utabiri wako kwa michezo yote 12 ya Jackpot.
 • Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote.
 • Kwenye mkeka, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Kama haujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

 

Hatua ya 3

Bofya kwenye weka bet.

Tambua kwamba Utashinda endapo utabiri wako wote utalingana na matokeo ya michezo. Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

 

Jinsi ya kupakua app ya 10BET?

Kufurahia APP yetu kwa matumizi madogo ya bando, kucheza kwa haraka muda wowote na mahali popote, hizi ni hatua fupi unapaswa kuzifuata wakati unaingiza App kwenye simu yako:


 1. Bonyeza kitufe cha Mpangilio/Settings kwenye simu yako > Kisha chagua usalama/security.
 2. Nenda kwenye utawala wa simu yako/Device Administration na uwezeshe "Ruhusu kutoka kwenye vyanzo visivyo julikana".
 3. Thibitisha unaka kuhifadhi mabadiliko.
 4. Kisha nenda kwenye tovuti vetu na bonyeza kitufe cha "Pakua sasa" kwenye kipengele cha ofa.
 5. Ingiza APP.
 6. Ikikamilika kujingia fungua APP, Ingia au Jasajili 10bet na ufurahje!