Maswali Yanayoulizwa Sana

1. Ujumuishwaji mkubwa wa michezo na matukio

Masoko yetu ya kubashiri yanajumuisha kila kitu kuanzia Ligi ya Mabingwa hadi Ubingwa NFL hadi NBA, mbio za mbwa hadi farasi, mpira wa magongo hadi polo ya maji ... mchezo wowote uujuao, tunao. .

2. Bashiri Mubashara

Kila wakati unayotumia kusoma huu ni wakati ambao unakosa mechi nyingi za moja kwa moja ambazo zinafanyika hivi sasa - zote zikiwa na takwimu za moja kwa moja na malipo ya papo hapo. Kwa hivyo soma haraka.

3. Maudhui yenye Ubunifu

Ah, hii huduma ni nzuri!" ni jambo ambalo utalisema sana, kwa hivyo jaribu kubadilisha maneno mara moja kwa wakati ili usichoke. Sio kwamba unaweza kuchoshwa na huduma zetu e nzuri za kila siku.

4. Uwanja Mpana wa Nafasi (inakujia hivi karibuni)

Ili kufurahia nafasi zetu zote, lazima muwe wengi. Mtu mmoja peke yake hawezi kushiriki kwenye nafasi hizi zote.Tunajua ni vitufe,lakini hatukuweza kukwepa pun.

5. Jackpot za Hali ya Juu

Je! Unaweza kusikia "Ding-Ding-Ding" na sauti ya kupendeza ya "ka-ching"?

Sivyo!, kwa sababu uko katika sehemu ya "kuhusu sisi" na sio kwenye kasino yetu yenye kung'aa, yenye kupendeza.

6. Promosheni bora na mpango wa VIP

Bonasi yetu ya kukaribisha inashawishi sana lakini kitakachokufanya ujisikie nyumbani ni mtiririko wa upakiaji wa mara kwa mara, bashiri za bure na zawadi nyingi.

7. Uhakika wa Usalama wako

Wateja wetu wanatuamini kushughulikia maelfu ya miamala kila siku, kwa kutumia majina ya kuaminika katika biashara. Kulinda data yako ni kipaumbele chetu. Na hakuna utani hapa.

8. Kubashiri kwa uwajibikaji, kila wakati

Furaha kubwa huja jukumu kubwa. 10bet imepewa leseni na mamlaka ya leseni ina nyenzo mbalimbali ambazo zinakudhibiti. Kwetu, kuwa mbashiri/mteja kunamaanisha kwenda mbali zaidi ili kuhakikisha kuwa unafurahiya michezo yetu kwa kiasi, salama na kwa udhibiti

9. Rahisi kutumia

Odd nzuri pamoja na mazingira mazuri ya kubashiri ni vitu vizuri sana lakini hatuishii haoa bwana!!. Jukwaa letu la rununu linahakikisha unafurahiya 10bet wakati wowote, mahali popote. Kuanzia kwenye malipo, picha na lugha nzuri , tunafanya kila kitu ili kufanya 10bet iwe ya haraka, rahisi, maridadi na nzuri kutumia.

10. Mguso wa Mwisho: Moyo na Nafsi

Kwetu, hii ni zaidi ya biashara - ni njia nzuri ya kuleta raha na furaha kwenye kwa maisha ya wateja wetu. Tunapenda sana michezo ya kubashiri na tutaendelea kufanya kila tuwezalo kuboresha. Ikiwa una maoni, tutakusilikiza..

Inavyoonekana, tunaongea sana. Tumeongea vya kutosha, sasa, wacha michezo ianzewote walikuwa mdomo pia, wakiongea vya kutosha na wacha michezo ianze!

10beti. Kwa Wabashiri Bora.

11. Jinsi ya kuweka bashiri ya jackpot?

Hatua ya 1

Ingia kwenye akaunti yako ya 10BET na bofya kwenye bango lililopo juu ya skrini yako.

Hatua ya 2

Ili kuweka bet ya Jackpot, bofya kwenye timu unayotabiri ishinde. Bofya kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).

Kama unataka kutabiri kuwa matokeo ya mchezo yatakuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili na chagua X (SULUHU).

Chagua utabiri wako kwa michezo yote 12 ya Jackpot.

Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote.

Kwenye mkeka, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Kama haujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.

Hatua ya 3

Bofya kwenye weka bet.

Tambua kwamba Utashinda endapo utabiri wako wote utalingana na matokeo ya michezo. Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.

12. Jinsi ya kupakua app ya 10BET?

Kufurahia APP yetu kwa matumizi madogo ya bando, kucheza kwa haraka muda wowote na mahali popote, hizi ni hatua fupi unapaswa kuzifuata wakati unaingiza App kwenye simu yako:

Bonyeza kitufe cha Mpangilio/Settings kwenye simu yako > Kisha chagua usalama/security.

Nenda kwenye utawala wa simu yako/Device Administration na uwezeshe "Ruhusu kutoka kwenye vyanzo visivyo julikana".

Thibitisha unaka kuhifadhi mabadiliko.

Kisha nenda kwenye tovuti vetu na bonyeza kitufe cha "Pakua sasa" kwenye kipengele cha ofa.

Ingiza APP.

Ikikamilika kujingia fungua APP, Ingia au Jasajili 10bet na ufurahje!

13. Ofa ya ukaribisho ni nini?

Ofa yetu ya ukaribisho ni 50% bonasi ya pesa yako ya kwanza utakayoweka utapata mpaka TZS 25,000./=. Ili uweze kuipata faida hiyo, chukua hatua zifuatazo:

1. Weka kiasi cha pesa kuanzia TZS 100.

2. Betia kiasi chako chote kwa pamoja kwenye beti ya mechi nyingi kuanzia chaguzi 2+ na kiasi cha chini odds 3.50

3. Beti yako ikikamilika jipatie beti ya bure yenye thamani ya nusu dau lako la kwanza uliloweka mpaka TZS 25,000/=.

Kujua Zaidi kuhusu ofa ya ukaribisho na vigezo na masharti, Tafadhali fuata njia zifuatazo:

1.Nenda kwenye Ofa

2. Chagua “zaidi” chini ya “ofa ya ukaribisho” soma vigezo na masharti vya ofa hii.

14. Kipi ni kiwango cha juu cha kuweka mechi katika mkeka?

Kiwango cha juu cha chaguzi ni mechi zisizozidi 50 katika mkeka.

15. Je inachukua muda gani kwa mkeka kuwekewa matokeo kwenye tovuti?

Matokeo ya mkeka huwekwa ndani ya dakika 30 mchezo ukikamilika. Ikiwa ni kipindi chenye kazi ,matokeo yanaweza kuchelewa. Tofauti na matukio mengine, mkeka wako ukiwa hujawekewa matokeo ndani ya dakika 30, tafadhali wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja kwa msaada Zaidi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano.

Tafadhali nukuu kwamba unaweza kupata changamoto ya kucheleweshewa matokeo ya mkeka wako masaa 24 kwenye mchezo ukiwa umesitishwa/kughairishwa kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya, migomo etc.

Matokeo yakiwekwa yanaweza kupatikana kwenye “historia ya bashiri” upande wa menyu.

16. Wapi nitapata masoko yote yanayo patikana ya mechi?

Ili kuweza kupata masoko yaliyopo, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

1. Inglia kwenye akaunti yako ya 10BET.

2. Upande wa kushoto wa tovuti, bofya kwenye mechi/tukio unalotaka kuona masoko yake yote.

3. Bofya kwenye “ masoko yote” upande wa juu kushoto kwenye kona kuonesha chaguzi zote zilizopo.

17. Ni wapi nitapata akaunti menyu ya 10bet?

Ili uweze kupata akaunti menyu ya 10bet, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

1. Ingia kwenye akaunti yako ya 10bet.

2. Bofya kwenye akaunti yako sehemu ya salio, iko upande wa kulia juu ukurasa wa tovuti.

3. Menyu itafunguka, ikikuonesha chaguzi tofauti.

18. Nitapata wapi matokeo ya jackpot?

Ili uweze kupata matokeo yako ya jackpot, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

1. Ingia kwenye akaunti yako ya 10bet.

2. Chagua “jackpot”kutoka kwenye mwongozo upande wa kulia juu wa ukurasa.

3. Shuka chini kisha chagua “Historia ya jackpot “.

4. Utaona matokeo na hali ya chaguzi zako, kama umeshinda au umeshindwa.

19. Wapi naweza kuona historia ya mihamala yangu?

Ili uweze kupata Historia ya mihamala yako, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

1. Ingia kwenye 10BET akaunti.

2. Bofya kwenye akaunti menyu upande wa juu kulia wa ukurasa wa tovuti pembeni ya sehemu ya “kuweka pesa”.

3. Itafunguka menyu, utahitajika kuchagua “historia ya mihamala”.

4. Chuja tarehe kulingana na muda unaotaka kuona historia yako. Kwa mfano; masaa 24, wiki iliyopita, mwezi uliopita, n.k

20. Nawezaje kufanya pesa nje?

Ili uweze kutumia pesa nje, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

1. Ingia kwenye akaunti yako ya 10BET.

2. Bofya kwenye akaunti sehemu ya salio, upande wa juu kulia wa ukurasa wa tovuti.

3. Ukurasa utakapo funguka chagua “Mikeka yangu”

4. Chini ya “mikeka yangu” na inayofuata ni “Bashiri zote” utaona “(pesa nje)” ambapo mikeka yote inayoweza kufanyiwa pesa nje itapatikana hapo.

5. Weka alama mkeka unaotaka kuwekea pesa nje na kisha chagua “pesa nje”

21. Ni wapi nitaweza kusoma kuhusu masoko yote yaliyopo?

Ili uweze kupata taarifa za masoko yote yaliyopo, tafadhali fuata hatua zifuatazo:

Ingia kwenye akaunti yako ya 10BET

Shuka mpaka chini ya ukurasa wa tovuti.

Chagua sheria za “kubashiri”


*Nukuu kwamba kama upo kwenye kompyuta yako, unaweza kuchagua “CTRL+F” kwenye kibodi na sehemu ya chujio inayotokea upande wa kulia juu wa ukurasa wa tovuti, unaweza kuchagua neno husika unalohitaji.

22. Michezo ipi inayo patikana nayoweza kuiwekea bashiri?

Hapa 10Bet tunatamba kwa kutoa michezo yenye chaguzi nyingi unayoweza kuwekea bashiri. Mpira wa miguu, mpira wa kikapu, Tenesi, Ndondi, na michezo mingi inayokupa uwezo wa kipekee katika bashiri.

Unaweza kupata taarifa kamili kwa kuingia kwenye akaunti yako ya 10bet.co.tz chini ya sehemu ya “michezo”

23. Je ninaweza kutengeneza akaunti Zaidi ya moja kwenye tovuti?

Unaruhusiwa kujiunga na unaweza kumiliki akaunti moja katika 10bet. Ikiwa unashikilia zaidi ya akaunti moja tuna haki ya kusimamisha akaunti zote zinazo jirudia hadi taarifa za akaunti na salio (yako) ziunganishwe. Mara baada ya kukamilika, akaunti zingine zote zitazuiwa na kuacha akaunti moja inayotumika. 10bet inaweza kwa hiari yake kukataa usajili wa Akaunti ya Mteja, au kufunga Akaunti ya Mteja iliyopo, lakini majukumu yoyote ya kimkataba yaliyofanywa tayari yataheshimiwa.

Kwa taarifa Zaidi, Tafadhali tembelea ukurasa wetu wa Vigezo na masharti.

24. Je ninaweza kufungua akaunti nikiwa na umri chini ya miaka 18?

Unaweza kushiriki na 10bet kama ukiwa na umri wa miaka 18.

Ni kosa la kisheria kushiriki ukiwa na umri chini ya miaka 18.