M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.

Masharti ya Jackpot

1. Vigezo na Masharti ya Jumla Ya Jackpot

• Ili kuingia katika michezo yoyote ya 10bet iliyolipiwa au ya bure ya jackpot wateja watachukuliwa kuwa wamekubali vigezo na masharti ya jumla ya 10bet na vilevile vigezo na masharti maalum ya Jackpot yaliyoainishwa hapa chini.

• Beti za Jackpot mara baada ya kuwekwa haziwezi kufutwa, kurekebishwa, au kurejeshwa. Ni jukumu la mteja kuhakikisha dau limewekwa kwa usahihi.

• Dau zozote zilizowekwa baada ya mechi ya kwanza kwenye kuponi ya Jackpot kuanza zitafutwa na kurudishwa kwenye akaunti ya mteja.

• Mechi zote za jackpot zimeamuliwa kwa matokeo ya dakika 90 pamoja na wakati wa kuumia lakini bila kujumuisha muda wa ziada au adhabu.

• Mechi zote zitatolewa ndani ya masaa 48 ya kuanza kwa mechi ya mwisho iliyopangwa.

• Katika kesi ya tiketi zaidi ya moja ya kushinda, zawadi za jackpot zitagawanywa sawa kati ya tiketi zote za ushindi. Sheria hii inatumika kwa Zawadi za Jackpot na zawadi zozote za ziada.

• Mechi ikiahirishwa au kutelekezwa kutoka wakati uliopangwa, mradi mechi ichezwe ndani ya masaa 24 ya muda wake wa kwanza wa kuanza, mechi itasimama. Ikiwa mechi haitapangiwa tena na kuchezwa ndani ya masaa 24, basi mechi hiyo itakuwa batili.

• Utendeaji wa mechi batili umeonyeshwa chini ya masharti ya mtu binafsi yaliyowekwa hapa chini.

• Iwapo 10bet itapata tatizo lolote la kiufundi, 10bet ina haki ya kughairi na kubatilisha dau zozote na zote kwenye Jackpot iliyotekelezwa na itawajulisha Wateja. 

• 10bet ina haki ya kubatilisha mechi yoyote ya Jackpot au Jackpot yote ikiwa kuna makosa dhahiri, ikiwa kumekuwa na mabadiliko ya muundo au ikiwa inaamini kuwa dau lolote limewekwa kinyume na Vigezo na Masharti yake.

• 10bet ina haki ya kulipa wateja kwa njia ya benki na hii inaweza kuchukua hadi wiki 2 kutuma kwenye benki ya mteja.

• Washindi wanaweza kutakiwa kutoa utambulisho kamili kabla ya malipo yoyote kufanywa na wanaweza kuhitajika kwenda kwenye ofisi za 10bet ili kupatiwa zawadi zao. Kwa kuongezea, washindi wote wa Jackpot wanakubali kuwa majina na/au picha zao zitatumiwa na 10bet bila malipo, kwa sababu za masoko.

• Iwapo mteja aliyeshinda hatatoa habari zote zilizoombwa ndani ya siku 30 za ombi basi 10bet itakuwa na haki ya kuitwaa tuzo hiyo.

• 10bet ina haki ya kubatilisha ushindi wowote ikiwa itahisiwa kuwa udanganyifu wowote au ukiukaji wa Vigezo na Masharti haya ulitokea.

• Maamuzi ya 10bet ni ya mwisho.

• Zawadi zote za Jackpot ni jumla ya ushuru na ushuru wowote unaotakiwa utatolewa kutoka kwenye zawadi na wateja kulipwa kulingana na ushuru wa ndani.

•Iwapo mtu atashinda tuzo yoyote ya Jackpot, mtu ambaye namba yake ya simu iliyosajiliwa inahusishwa nae ndiye atachukuliwa mshindi bila kujali ni jina gani linaonyeshwa kwenye akaunti ya 10bet ambayo imeingizwa kwenye fomu ya usajili. 

• 10bet ina haki ya kurekebisha vigezo na masharti ya matumizi kwa Jackpots wakati wowote, kwa sababu yoyote bila taarifa.

 

2. Vigezo na Masharti vya Jackpot za Bure na Dau

• Mara chache 10bet inaweza kuendesha promosheni kuwapa wateja bet ya bure kwenye moja au zaidi ya Jackpot za mpira wa miguu.

• Mchezo mmoja tu wa bure kwa kila Mteja kwa kila promosheni unaweza kudaiwa.

• Dau la Bure litatumika kwa Jackpot maalum tu iliyotajwa katika mawasiliano yaliyotumwa kwa mteja.

• Bets za bure zitatumika tu kwa bet maalum ya jackpot na haiwezi kutumika kwa jackpot nyingine yoyote au bidhaa zisizohamishika.

• Bets za bure haziwezi kubadilishana kwa aina nyingine yoyote ya ziada au pesa halisi.

 

3. 12 Mechi 1X2 Jackpot

• Mteja lazima atabiri matokeo (nyumbani/sare/ugenini) kwa mechi 12 zilizochaguliwa awali.

• Jackpot inapewa na kugawanywa kati ya wateja wote ambao walifanya tabiri 12 sahihi.

• Zawadi za ziasa hutolewa kwa kutabiri kwa usahihi matokeo 11 kati ya 12 na 10 kati ya 12 kwa usahihi.

• Kiasi cha bonasi kilichotajwa hapo juu kitaamuliwa na 10bet kwa itakavyopanga.

• Wateja wanaweza kuweka dau zisizo na kikomo kwenye Jackpot.

• Ikiwa mechi moja itafutwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 matokeo yatachukuliwa kuwa matokeo sawa na mechi ya kwanza ambayo imechapishwa kwenye orodha ya jackpot ambayo ina matokeo yaliyothibitishwa. Ikiwa mechi ya 1 imefutwa/kuahirishwa, basi matokeo ya mechi ya 2 yatatumika.

• Ikiwa mechi mbili zitafutwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 matokeo yatachukuliwa kuwa matokeo sawa na mechi mbili za kwanza ambazo zimechapishwa kwenye orodha ya jackpot ambazo zina matokeo yaliyothibitishwa.

• Endapo mechi tatu au zaidi zitaghairiwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24, Jackpot itaonekana kuwa batili na vigingi vimerejeshwa kwa mteja.

 

Jina la Jackpot - 1X2 Jackpot

Muundo wa Jackpot - 12 mechi 1 X 2 (nyumbani/sare/ugenini) mtabiri

Bei ya Kuingia - TZS 700

Zawadi ya Jackpot - TZS 100,000,000

Zawadi za Bonasi - Tabiri sahihi 11 kati ya 12 na tabiri sahihi 10 kati ya 12

 

4. 10 Mechi 1X2 Jackpot

• Mteja lazima atabiri matokeo (nyumbani/sare/ugenini) kwa mechi 10 zilizochaguliwa awali.

• Jackpot inapewa na kugawanywa kati ya wateja wote ambao walifanya tabiri 10 sahihi.

• Zawadi za bonasi zimetolewa kwa walio bashiri matokeo kwa usahihi 8 kati ya 10 na 9 kati ya 10.

• Kiasi cha bonasi kilichotajwa hapo juu kitaamuliwa na 10bet kwa itakavyopanga.

• Wateja wanaweza kuweka dau zisizo na kikomo kwenye Jackpot.

• Ikiwa mechi moja itafutwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 matokeo yatachukuliwa kuwa matokeo sawa na mechi ya kwanza ambayo imechapishwa kwenye orodha ya jackpot ambayo ina matokeo yaliyothibitishwa. Ikiwa mechi ya 1 imefutwa/kuahirishwa, basi matokeo ya mechi ya 2 yatatumika.

• Ikiwa mechi mbili zitafutwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24 matokeo yatachukuliwa kuwa matokeo sawa na mechi mbili za kwanza ambazo zimechapishwa kwenye orodha ya jackpot ambazo zina matokeo yaliyothibitishwa.

• Endapo mechi tatu au zaidi zitaghairiwa au kuahirishwa kwa zaidi ya masaa 24, Jackpot itaonekana kuwa batili na vigingi vimerejeshwa kwa mteja.

 

Jina la Jackpot - 1X2 Jackpot

Muundo wa Jackpot - 10 mechi 1 X 2 (nyumbani/sare/ugenini) mtabiri

Bei ya Kuingia - TZS 500

Zawadi ya Jackpot - TZS 11,000,000

Zawadi za Bonasi - Tabiri sahihi 9 kati ya 10 na tabiri sahihi 8 kati ya 10

 

5. Masharti ya Jackpot-Pick 6

1. Vigezo na masharti

1.1 Vigezo hivi na masharti ("Vigezo na masharti”)vitatumika:

• Kwa kushirikiana na vigezo na masharti ya promosheni yoyote. Ambapo sheria na masharti yoyote ikitofautiana , vigezo mahususi ya promosheni vitatumika; na

• Endapo utaomba kuingia kwenye utabiri wa mechi za mpira wa pick 6 unaopatikana kwa “mashindano”

1.2 Itachukuliwa kuwa umekubali vigezo na masharti na umekubali kuzifuata unapoingia kwenye shindano.

1.3 Kwa madhumuni ya Vigezo na Masharti haya, marejeo yoyote ya "wewe", "Mshiriki/washiriki" au "mchezaji/wachezaji" ni kwa watu ambao wameingia kwenye shindano kwa mujibu wa Vigezo vilivyoainishwa katika Kifungu cha 3 (Jinsi ya Kuingia).

2. Uhalali wa kushiriki

2.1 Shindano hili ni maalum kwa watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi raia wa Tanzania, isipokua kwa:

• Wafanyakazi wa Promota na/au kila kampuni zinazo shirikiana.

• Wafanyakazi wa wakala na/au wasambazaji wa Promota na/au kampuni zinazohusiana nazo kitaaluma kwenye shindano na /au utawala wake. au

• Ndugu wa karibu wa familia au kaya za wote waliotajwa kwenye vifungu 2.1.1 2.1.2 juu.

• Pale ambapo washiriki hawajakidhi  sifa zilizotajwa kwenye kifungu 3.1, ushirkiki wao hautokua halali, na hawato ruhusiwa kushinda.

• Promota atamtaka mshiriki kutoa uthibitisho wa umri, makazi na kitambulisho.

3. Jinsi ya kuingia

3.1 Shindano litaendela mpaka pale litakapo ondolewa kwa kwa hiari ya Promota pekee. Pia Promota ana haki ya kusimamisha au kurekebisha shindano muda wowote.

3.2 Kuingia kwenye shindano ni bure.

3.3 Ili uweze kuingia kwenye shindanoo, ni lazima:

• Ujisajili kwenye www.10.co.tz (“Tovuti”) au kupitia App ya simu (“App ya simu”) kufungua akaunti; na 

• Kutabiri matokeo halisi kwa mechi zote za Pick 6 zinazotambulika kwa raundi husika.

3.4 Unahitajika kujisajili kufungua akaunti kwenye tovuti au App ya simu kwa jina lako.

3.5 Mshiriki yoyote atakaye bainika kajisajili kwa jina la mtu mwingine yoyote ataondolewa ushiriki.

3.6 Kufuzu nafasi kwenye Pick 6, unatakiwa kubashiri kwa pesa halisi kwenye wiki husika ya shindano na kupata nafasi kabla ya kuingia kufanya chaguzi.

3.7 Beti za cash out hazitofuzu kwenye ushiriki. Kwenye tukio la bashiri iliyo fuzu kufanyiwa cashout, hii ita athiri uhalali wako wa ushiriki, uhalali wa kupokea zawadi yoyote na fursa ya kupata nafasi kwenye mashindano yajayo.

3.8 Akaunti moja tu inaruhusiwa kusajiliwa kwa mshiriki mmoja.

3.9 Kwa kusajili akaunti, unampa Promota mamlaka ya kuthibitisha utambulisho, mkopo au ukaguzi mwingine wa uthibitisho ukihitajika (Iwe kwa madhumuni ya Promota mwenyewe au akitakiwa na sheria au mamlaka husika), ikijumuisha (lakini siyo na mipaka) kutizama taarifa baadhi au zote ulizo wasilisha wakati unajisajili au kubadili taarifa za akaunti. Lakini pia, Promota anaweza kuthibitisha kuwa una umri wa miaka 18(Kumi na nane) au zaidi na kuwa ni raia wa Nchi husika ambayo unasema unaishi. Kama promota atabaini kuwa uko chini ya umri wa miaka 18 baada ya kuafanya uhakiki wa uthibitisho  au haujakidhi vigezo vya uhakiki, akaunti yako itafungwa, na maingizo yako yote yataondolewa kwenye ushiriki wa shindano na/au kupokea zawadi yoyote(Kama inavyo fafanuliwa hapa chini)

3.10 Promota anaweza kutoa taarifa zako ambazo umewasilisha kwa mashirika ya mikopo yaliyo idhinishwa, ambayo yatatizama taarifa hizo dhidi ya vihifadhi tarifa (Serikali au Binafsi) amabapo wana ruksa na wanaweza kutunza taarifa za ukaguzi huo. Ukaguzi utakuwa wenye dhumuni la kuthibitisha utambulisho wako na kwa kutambua na kuzuia ulaghai. Promota atachakata taarifa zako binafsi ulizo wasilisha kwa mujibu wa Sera ya faragha na Vidukuzi.

4. Jinsi ya kucheza Pick 6

4.1 Kutakuwa na mechi 6 kwa kila shindano la Pick 6.

4.2 Mechi na muda wake wa kuanza utaweza kutazamwa kwenye tovuti ya Pick6

4.3 Kila mzunguzo unafungwa kwenye muda wa mechi ya kwanza kuanza ndani ya shindano.

4.4 Alama zitakuwa zinatunzwa kama ifuatavyo;

• Mchezaji atapokea alama 10 kwa kila utabiri sahihi wa magoli ( Idadi ya magoli kwa kila timu)kutabiriwa kwenye mkeka wa Pick 6.

• Mchezaji atapokea alama 5 kwa kila utabiri sahihi wa matokeo( Ushindi, Sare, au kupoteza kwa kila timu) itakayo tabiriwa kwenye mkeka wa Pick 6. Mfano kama mchezaji kachagua matokeo halisi ya 2-1 ushindi kwa timu ya nyumbani, na matokeo ya mechi ni 3-0 ushindi timu ya nyumbani hapo alama 5 zitatolewa kama mchezaji  aliye tabiri matokeo ya mechi (1x2) yatatokea ingawa kashindwa kutabiri matokeo halisi ya mechi.

• Mchezaji hatopokea alama 10 kwa kutabiri sahahihi  magoli pamoja na alama 5 kwa kutabiri kwa usahihi matokeo. Alama 5 za kutabiri kwa usahihi matokeo ni bonasi kwa  kushindwa kutabiri matokeo halisi ya magoli.

• Wachezaji wana uwezo wa kubadili matokeo yao walio yaamua muda wowote hadi muda wa mechi ya kwanza uliyo pangwa kuanza kwenye shindano la Pick 6. Kwenye muda huu kushiriki kutakuwa kumefungwa na maingizo yote yaliyo chaguliwa wakati hili linatokea yakaua halali.

5. Zawadi

5.1 Zawadi kwa kutabiri kwa usahihi magoli ya mechi 6(Kama inavyo fahamika “Zawadi ya Jackpot”, bonasi yoyote na zawadi za kwenye ubao wa alama, kwa pamoja zinatambulika kama “Zawadi” na kila “Zawadi”

5.2 Hakuna mbadala wa pesa tasimu kwa zawadi ambazo siyo pesa.

5.3 Endapo umekubali isipokuwa kwa maandishi zawadi hazirudishwi na hazisafirishwi.

5.4 Zawadi zote za bonasi ya ubao wa vinara (wanaoongoza) zinatolewa kama pesa taslimu bure.

5.5 Promota ana haki ya kubadili zawadi (au  sehemu yake) kwa zawadi sawa au kubwa yenye thamani zaidi endapo itakuwa lazima kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake. 

5.6 Promota hatowajibika kwa zawadi ambazo hazitowafikia washindi kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezo wake.

5.7 Zawadi ya shindano la Jackpot ni TZS 20,000,000  isipokuwa endapo (“Zawadi ya shindano la Jackpot”) na mshindi atatambulika ifutavyo:

• Zawadi ya shindano la Jackpot itazawadiwa kwa mchezaji ambaye atatabiri kwa usahihi magoli kwenye mechi 6 za mkeka wa Pick 6 kwenye mzunguko husika.

• Endapo kutakuwa na wachezaji wawili au zaidi ambao wametabiri kwa usahihi magoli kwenye mechi zote sita za mkeka wa Pick 6, zawadi ya shindano la jackpot itagawanya sawa kwa washindi wote.

• Endapo hakutakuwa na mchezaji atakaye tabiri kwa kwa usahihi magoli kwa mechi zote 6, lakini kuna baadhi ya watu wawili au zaidi wamelingana kwenye ubao wa alama ( au kwenye zawadi za bonasi nyingine) hapo zawadi itagawanywa sawa kwa wachezaji wote.

5.8 kwa mujibu wa masharti hapa chini, zawadi ya bonasi kwa kila mzunguko inabainishwa na  10bet isipokua vinginevyo (“Ubao wa alama za zawadi”) na itabainika kama ifuatavyo:

• Zawadi ya bonasi inatunzwa ambapo hakuna mchezaji ambaye ametabiri kwa usahihi magoli kwenye mechi zote sita za mkeka wa Pick 6 katika mzunguko husika lakini wametabiri kwa usahihi magoli kwenye mechi 5 za shindano.

5.9 kwa mujibu wa masharti hapa chini, ubao wa alama za washindi kwa kila mzunguko ni TZS 115,000 isipokuwa kama itabainika vinginevyo (Zawadi za ubao wa alama)  na itatambulika ifuatavyo:

• Zawadi ya ubao wa alama itatunzwa kwa mchezaji atakaye funga namba za alama za juu  kwenyye mzunguko (Mshindi wa shindano kwenye mzunguko)

• Angalau mikeka mitano au au zaidi ya Pick 6 inatakiwa kumalizika katika mzunguko husika ili zawadi ya ubao wa alama katika mzunguko husika itunzwe.

• Wachezaji watapokea zawadi kulingana na nafasi zao kwenye ubao wa alama. Kwenye tukio ambapo wachezaji wawili au zaidi watakuwa na namba sawa za alama, wachezaji watatambulika kuwa wamelingana. 

• Nafasi tano za malipo kwenye ubao wa alama itajazwa kwa wingi wa alama na beti itakayokuwa imebetiwa mapema zaidi kwa kupiga hesabu za muda/siku. Kwa mfano: Kama wachezaji saba wamefungana wote kwenye nafasi ya kwanza, ni watano tu watakaopokea malipo ya zawadi kutoka kwenye ubao wa alama. Alama za mchezaji zitapangiliwa kuanzia yakwanza kubetiwa mpaka ya mwisho kubetiwa, haijalishi nafasi inayoonekana kwenye ubao wa alama.

Hakuna zawadi za kwenye ubao wa alama zitakazo tolewa kwa wateja wasio na alama.

Nafasi Zawadi
1 TZS 55,000
2 TZS 30,000
3 TZS 15,000
4 TZS 10,000
5 TZS 5,000

6. Utoaji wa mechi zilizo hairishwa, sitishwa au ambayo haijakamilika.

6.1 Kama zawadi ya shindano la Jackpot ni jumla ya TZS 20,000,000 basi sheria zifuatazo zitatumika:

6.2 Endapo mkeka wowote wa mechi za pick 6 utahairishwa, simamishwa au kutomalizika (amabapo dakika pungufu 90 zimechezwa) mkeka utatambulika haupo.

6.3 Endapo mechi moja wapo itahairishwa, kusitishwa au haitomalizika na haitocheza ndani ya masaa 24 ya muda uliyo pangwa kuanza kucheza, matokeo yatachukuliwa kama ya sawa na matokeo ya mechi ya kwanza yaliyo tolewa kwenye orodha ya Jackpot iliyo thibitishwa matokeo.

6.4 Kwenye tukio la mechi mbili au zaidi kuhairishwa au kusitishwa na kutochezwa ndani ya masaa 24 ya muda uliyo pangwa kuanza kucheza, hilo shindano husika la pick 6 itachukuliwa haipo na hakuna zawadi zitakazo tolewa lakini zawadi za kwenye ubao wa alama zitatolewa.

6.5 Kwenye tukio la mechi mbili au zaidi kuhairishwa au kusitishwa kwenye mchezo mmoja kwenye wiki husika Jackpot itachukuliwa kama haipo na zawadi hakuna zawadi zitakazo tolewa.

7. Washindi na uthibitisho wa ushiriki

7.1 Washindi (kama watakavyo tambulika kuringana na vigezo vilivyowekwa kwenye kifungu namba 5 (Zawadi) zitajulishwa kwa barua pepe au namba ya simu zilizo sajiliwa kwenye akaunti siku ambayo mzunguko husika umekamilika. Au kwenye siku ya kazi inayofuata (“Siku ya kazi” siku yoyote tofauti na Jumamosi, Juma pili au sikukuu)

7.2 Ni jukumu la kila mchezaji kuhakikisha kwamba taarifa za mawasiliano ni sahihi kwenye akaunti yake.

7.3 Washindi wanaweza kutakiwa kuhakiki(kwa ushaidi wa kuridhisha kwa promota) 

• Umri

• Kitambulisho

• Anuani ya makazi na

• Na taarifa nyingine yoyote ya uthibitisho itayo ombwa na Promota, kujiridhisha kwa Promota kabla hawajathibitishwa kupokea zawadi.

7.4 Kama mshindi yoyote hataweza, kwa sababu yoyote:

• Kukubali zawadi;

• Kuthibitisha taarifa za usajili wao kumridhisha Promota.

• Kupatikana na hatia ya kuvunja vigezo na masharti haya; au

• Hawezi kupatikana ndani ya siku 5 za kazi, Promota ana haki ya kutompa ushindi mshindi huyo ( na ustahiki wao wa kupokea zawadi yoyote ndani ya shindano) na kutunza zawadi kwa mshindi mwingine, kama itawezekana.

• Washindi wanatakiwa kuruhusu mpaka siku 30 za malipo na uwasilishwaji wa zawadi.

• Maamuzi ya Promota ni ya mwisho na muungano wa kisheria kwa washiriki wote kwa uhusiano kwenye vipengele vyote vya shindano ikijumuisha(Bila kikomo), ugawaji wa zawadi na hakuna mawasiliano yatakayo jumuishwa.

• Washiriki wasiyo fuata kwa ujumla vigezo na masharti hawatofuzu na hawata stahiki kupokea zawadi yoyote.

8. Utangazwaji na taarifa binafsi

8.1 Promota anaweza kutumia taarifa za kila mshindi na kila mshiriki kwa dhumuni la kusimamia shindano.

8.2 Kwakuchagua kupokea ofa na mawasiliano umekubali kuwa Promota  na kila kundi la kampuni, biashara na washiriki wa kibiashara  wanaweza kutumia taarifa ulizotoa kuwasiliana nawe kuhusu bidhaa na huduma ambazo zitakuvutia.

8.3 Unakubali kuwa promota anaweza kutumia  taarifa ulizotoa kuwasiliana nawewe na kutoa uuzaji unaolenga kwenye huduma na bidhaa ambazo zitakuvutia wewe

8.4 Kuingia na kushiriki kwenye shindano kunajumuisha ruksa kwa promota na/au kampuni zake zinazohusiana, zinazohusishwa, kutumia majina, utabiri na picha za mshiriki madhumuni ya matangazo, ikijumuisha lakini siyo tu kwa ubao wa matangazo na onyesho lingine ndani ya tovuti ya Pick 6 au App zinazo husiana.

8.5 Kwa utambuzi wa mshindi, taarifa za mshindi zitajumuishwa kwenye matangazo hayo kama vile promota atakavyo hitaji.

9. Ukomo wa Dhima

9.1 Isipokua kwenye tukio ya kifo au jeraha binafsi kutokana na uzembe wake au sababu ya udanganyifu, na kama ilivyo ruhusiwa na sheria, promota na kila kampuni inayo husiana nae na mawakala ukiondoa wajibu na dhima zote zinazo tokana na:

• Kusitishwa, kuhairishwa, kuchelewa au kubadilishwa kwa zawadi yoyote, shindano, au promosheni yoyote inayo endana au ratiba ya mpira wa miguu sababu ya nje ya  ya uwezo wa Promota.

• Hitirafu yoyote ya kiufundi au kutopatikana kwa tovuti ya Pick 6, App za simu au mifumo mingine inayo husiana.

• Makosa au upungufu dhahiri kuhusiana na utoaji wa Zawadi; au 

• Kitendo chochote au chaguo-msingi la mtoa huduma mwingine yeyote ikijumuisha bila hitilafu za kikomo zinazohusiana na ratiba za mechi.

9.2 Vigezo na masharti vya  mtoa huduma mwingine yoyote vitahitajika kwenye zawadi inapo hitajika.

9.3 Ikiwa kifungu chochote au sehemu ya Sheria na Masharti haya ni au inakuwa batili, kinyume cha sheria, au haiwezi kutekelezeka, itachukuliwa kuwa imerekebishwa kwa kiwango cha chini kinachohitajika ili kuifanya kuwa halali, kisheria na kutekelezeka.

10. Kodi

10.1 Unawajibika kikamilifu kwa kodi ya zawadi yoyoyte na/au ushindi wowote utakao chukua kutoka 10bet.

 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media