M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
10bet Droo ya Bahati imefikia tamati!
Ni muda wa Zawadi!

1. Droo ya Bahati imefika kikomo! Unaweza kuwasiliana na watoa huduma wetu na kujua umevuna tiketi ngapi.
2. Droo ya Bahati itafanyika Jumatano, Mei 25. Washindi watapewa taarifa kwa njia ya SMS.
3. Wasiliana na watoa huduma wetu ili kujua jinsi ya kudai zawadi yako. Zawadi zitawafikia kuanzia tarehe 31 Mei, 2022.


For the bettor.

Vigezo na Masharti:

1. Muda wa shindano ni kuanzia 00:01 GMT Usiku 25/4/2002 mpaka 23:59 GMT usiku 15/5/2022.
2. Shindano hili linapatikana pekee kwa wateja wenye akaunti 10bet na wanamiaka zaidi ya 18.
3. Kiasi cha chini cha mauzo kinachohitajika ili kupokea tiketi ya kushiriki kwenye droo ya bahati ni TZS 9,000.
4. Mara mteja anapo tengeneza jumla ya mauzo ya TZS 9,000 atapokea tiketi ya kushiriki kwenye droo ya bahati ya 10bet.
5. Mauzo yapatikana kwenye odds kubwa na zinaongeza tiketi nyingi za kushiriki wingi:
• Beti za TZS 9,000 kuchezwa kwenye odds za kati ya 1.20 na 2.50 zinatengeneza tiketi 1;
• Beti za TZS 9,000 kuchezwa kwenye odds za kati ya 2.51 na 5.00 zinatengeneza tiketi 2;
• Beti za TZS 9,000 kuchezwa kwenye odds za kati ya 5.01 au zaidi (5.01+) zinatengeneza tiketi 3.
6. Mteja atakae beti na odds pungufu ya 1.20 hata fuzu kwenye shindano la droo ya bahati ya 10bet. 
7. Beti za Jackpot, Kubeti kwenye V-ligi (SRL) na beti za bure hazikidhi vigezo vya kushiriki kwenye shindano la droo ya bahati ya 10bet.
8. Beti zilizokataliwa na zilizohairishwa, droo beti na beti za cash out hazishiriki kwenye mahitaji ya mauzo. 
9. Mteja anaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja, kupitia live chat kwenye tovuti yetu, muda wowote kutizama jumla ya tiketi alizo kusanya.
10. Hakuna kikomo cha jumla ya tiketi mchezaji mmoja kukusanaya. 
11. Mteja hatoweza kushinda zawadi zaidi ya moja kwney kipindi cha shindano la droo ya bahati ya 10bet.
12. Mteja ana nafasi ya kushinda zawadi zifuatazo:
• Samsung 50" TV;
• Samsung A53 Smart Phone;
• Samsung A7 lite Tablet;
• Pesa taslimu kiasi cha TZS 200,000 kwa washindi 10 kwa kila mmoja.
13. Washindi watachaguliwa kupitia droo kutoka kwenye kushiriki kwa uhalali.
14. Washindi watapatikana Jumatano 25/5/2022 na watatangazwa kwenye kurasa yetu ya Facebook. 
15. Washindi pia watafahamishwa kwa njia ya smss 25/5/2022.
16. Washindi watatakiwa kuwasiliana na kitengi cha huduma kwa wateja, kupitia live chat kwenye tovuti yetu, kuhusiana na taarifa za utoaji/na uchukuaji wa zawadi zao. Watatakiwa kutuma taarifa zifuatazo kwenye maandishi (kupitia ive chat) ikijumuisha: Majina kamili, Kitambulisho, tarehe ya kuzaliwa, barua pepe(kama ipo), mahala pa makazi. They need to send the following information in a written form (via chat) including requested documents: Full name, proof of identity, date of birth, email address (in case of such), physical address. Baada ya uthibitishaji utakapo malizika kutoka kwa timu yetu ya usaidizi, mteja atafahamishwa kupitia njia ya simu kuhusiana na utoaji/uchkuaji wa zawadi zao. 
17. Kwa kushiriki kwenye shindano, Wateja wamekubali:
• Kushiriki kwenye utangazwaji na kutumika kwa jina lako na picha kwenye tanagazo hilo linalo husiana na washindi na haki ya kukataa ushiriki wa shuguli hizo.
• 10bet watapokea na kuchanganua taarifa zako binafsi kwa lengo la shindano.
18. 10bet ina haki ya kuwaondoa washiriki kwenye shindano kutokana na vitendo vya kilaghai.
19. 10bet inahaki ya kuadilisha vigezo vya bonasi  na au conditions kubadilisha, kusimamisha au kufuta shindano kwa hiari yake kwa sababu yoyote ile na bila taarifa. Katika tukio kama hilo, unaachilia haki au matarajio yoyote ambayo unaweza kuwa nayo dhidi ya 10Bet na kukubali kuwa hutakuwa na majibu au madai ya aina yoyote dhidi ya 10Bet.
20. Vigezo hivi na masharti  viko chini ya vigezo na masharti ya jumla na vigezo vya jumla vya promosheni za 10bet, ambavyo mteja anatakiwa kuviheshimu kwa pamoja.
21. Kila mteja anaye shiriki kwenye shindano anatakiwa kufahamu na kukubali vigezo hivi na masharti , vigezo na masharti ya jumla ya 10bet na vigezo vya jumla vya promosheni za 10bet, kwa sababu za kushiriki.


 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media