M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
Inadhaminiwa rasmi na 10bet.
Tuko nyuma ya Dodoma Jiji (na mbele pia).

10bet inayo furaha kwa kuwa mdhamini wa Dodoma Jiji ya Ligi Kuu ya Tanzania.

Klabu kutoka Dodoma ambayo wanavaa jezi rangi ya bluu na nyeupe ambapo pia watavaa nembo ya 10bet msimu huu wanapokwenda kuwania ubingwa Tanzania.

Timu ya mpira wa miguu Dodoma jiji, iliyo kuwa ikijulikana kama Polisi Dododma ni timu mpya iliyo undwa chini ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

 

Kwa ushiriki mkubwa kutoka kwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, Klabu hiyo iliundwa katika juhudi za kuendeleza maendeleo ya Michezo ndani ya Mji Mkuu wa Tanzania, ikilenga kuimarisha sekta ya mpira wa miguu na kuongeza mshikamano kati ya watu ndani na nje ya mkoa. Klabu italeta hamasa na nguvu mpya kuelekea kufikia lengo hili.

 

Hivi karibuni, timu imepata fursa ya kushiriki ligi kuu ya kwa msimu wake wa kwanza 2020/2021, ikiwa kama timu mpya lakini yenye ushindani na uwezo mkubwa. Kwa msimu wa 2021/2022 Dodoma imejitoa kuhakikisha timu inafikia nafasi za juu za msimamo wa ligi ili kufuzu kucheza mashindano ya kimataifa.

 

 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media