M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
07/05/2021 - 02:16 PM
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Inadhaminiwa rasmi na 10bet.
Tuko nyuma ya Dodoma Jiji (na mbele pia).

Dodoma Jiji inadhaminiwa rasmi na 10bet.

Timu ya mpira wa miguu Dodoma jiji, iliyo kuwa ikijulikana kama Polisi Dododma ni timu mpya iliyo undwa chini ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

 

Kwa ushiriki mkubwa kutoka kwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, Klabu hiyo iliundwa katika juhudi za kuendeleza maendeleo ya Michezo ndani ya Mji Mkuu wa Tanzania, ikilenga kuimarisha sekta ya mpira wa miguu na kuongeza mshikamano kati ya watu ndani na nje ya mkoa. Klabu italeta hamasa na nguvu mpya kuelekea kufikia lengo hili.

 

Hivi karibuni, timu imepata fursa ya kushiriki ligi kuu ya kwa msimu wake wa kwanza 2020/2021, ikiwa kama timu mpya lakini yenye ushindani na uwezo mkubwa. Kwa msimu wa 2021/2022 Dodoma imejitoa kuhakikisha timu inafikia nafasi za juu za msimamo wa ligi ili kufuzu kucheza mashindano ya kimataifa.


  • Mkeka 0
  • Odds Baabkubwa kwa mechi za AFCON!
  • Jiunge na mechi.
    Furahia AFCON na TZS 2,000 beti ya bure kwenye kila TZS 6,000 beti.