M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
Odds Bora Tanzania!
Bet kwenye ligi
uzipendazo
na 10bet.

Tuna odds bora za Ligi Kuu Uingereza na La Liga kwa ajili yako.

Pata kiwango cha juu zaidi cha malipo kwenye EPL na La Liga, kwa busti odds.

Timu, wachezaji, mechi na masoko uyapendayo, vyote vinapatikana 10bet.


For the bettor.

Premier League

Ligi Kuu Uingereza, maarufu kama EPL, ndio mashindano ya juu zaidi nchini England. Kuna vilabu ishirini vinavyoshiriki, vyote vinacheza mechi thelathini na nane kati ya Agosti na Mei, ambayo hutengeneza ratiba za mechi za kuvutia, na unaweza kupata odds za ubashiri wa Ligi Kuu Uingerza za hivi punde na 10bet.

Zikiwemo timu kama Liverpool, Manchester United, Arsenal, Chelsea, Manchester City na Leicester City, ndiyo ligi inayofuatiliwa zaidi Tanzania. Kampeni ya Ligi Kuu Uingereza ya 2022/23 inaahidi mwaka mwingine mzuri wa burudani na odds bora kwenye EPL zinazopatikana kwenye masoko mbalimbali tofauti (1X2, Over/Under, Double Chance, Correct Score, n.k.)

 

La Liga

La Liga, pia maarufu kama Primera Division, ni ligi kuu ya kandanda ya kulipwa nchini Hispania. Real Madrid, Barcelona na Atletico Madrid wametawala msimamo wa La Liga kwa miaka mingi na karibu kila mara wanapewa nafasi kubwa kushinda mechi zao.

La Liga ina mechi thelathini na nane kati ya Agosti na Mei ambapo timu 20 zinachuana kuteka Hispania. Barcelona na Real Madrid kihistoria ndizo zilizopewa nafasi kubwa na Atletico kugawanya viporo. Chukua nafasi yako kwenye timu 3 kubwa nchini Hispania zilizo na uwezekano mkubwa wa mechi zote.

 


 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media