M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
Rudi kwako!
10% ya kurudishiwa
pesa kwenye hasara.

Hatua mbili kupata rejesho lako:

1. Beti mkeka wa mechi moja au zaidi kwenye mchezo wowote (odds zisizo pungua 1.50+).
2. Rejesho la 10% litatolewa Jumapili, 26 Juni kama BETI YA BURE kwa ulichopoteza


For the bettor.

Vigezo na masharti:

1. Muda wa promosheni - Kutoka 00:01 EAT 23-6-2022 hadi 23:59 EAT 26-6-2022
2. Bonasi (Beti ya bure) inatolewa mara moja kwa mteja kila wiki.
3. Beti za mwanzo zinatakiwa kuchezwa kwa mkeka wa mechi moja au mechi nyingi kwa odds zisizopungua 1.50.
4. Beti zinatakiwa kuwekwa matokeo kufungua beti ya bure.
5. Beti za bure zinatolewa Jumapili, tarehe 26 mwezi wa 6.
6. Ukipoteza hadi TZS 100,000, itatolewa beti ya bure ya TZS 10,000.
7. Ulicho poteza kinahesabiwa kwenye beti zilizo wekwa matokeo pekee = Jumla ya ulichopoteza kutoa jumla ya ushindi. 
Kwa mfano: TZS 1,000 Ulichopoteza ukitoa TZS 800 ushindi ukitoa TZS 100 Bonasi= Jumla ya ulicho poteza TZS 100
8. Kiasi cha juu cha beti ya bure ni TZS 10,000.
9. Beti ya bure inatumika ndani ya siku 3.
10. Beti za bure zinatakiwa  kuchezwa kwa mkeka wa mechi moja au mechi nyingi kwa odds zisizopungua 1.50.
11. Beti zitakazochezwa kwenye michezo ya Jackpot na /au michezo ya V-League  haitofuzu  kwenye promosheni hii.
12. Beti zilizokataliwa na zilizohairishwa, droo beti na beti za cash out hazihesabu kuelekea mahitaji ya kuweka pesa au mahitaji kwa mauzo ya bonasi.
13. Ikiwa utafanya ombi la kutoa pesa kabla ya kufikia mahitaji ya bonasi, promosheni itafutwa na  Salio la bonasi na ushindi unaolingana vitaondolewa.
14. Promosheni hii haiwezi kuunganishwa na promosheni nyingine yoyote. Haiwezi kutumika kama mahitaji ya kufuzu kwa promosheni nyingine.
15. 10bet ina haki ya kuwasimamisha wachezaji kwenye promosheni endapo watajiusisha na vitendo vya udanganyifu.
16. Hizi T&C ziko chini ya vigezo na masharti ya 10bet na masharti ya promosheni 10bet kwa ujumla.


 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media