M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
Rudi kwako!
20% ya kurudishiwa
pesa kwenye hasara.

Hatua mbili kupata rejesho lako:

1. Bashiri mkeka wa mechi 2+ kwa mchezo wowote na odds za 2.50+
2. Rejesho la 20% litatolewa Jumatatu, 23 Mei kama BETI YA BURE kwa ulichopoteza


For the bettor.

Vigezo na masharti:

1. Muda wa promosheni - Kutoka 00:01 EAT 16-5-2022 hadi 23:59 EAT 22-5-2022
2. Bonasi (Beti ya bure) inatolewa mara moja kwa mteja kila wiki.
3. Bashiri za mwanzo zinatakiwa kuwekwa kwa mechi 2+ na odds zisizopungua 2.50.
4. Beti zinatakiwa kuwekwa matokeo kufungua beti ya bure.
5. Beti za bure zinatolewa Jumatatu, tarehe 23 mwezi wa 5.
6. Ukipoteza hadi TZS 60,000, itatolewa beti ya bure ya TZS 12,000.
7. Ulicho poteza kinahesabiwa kwenye beti zilizo wekwa matokeo pekee = Jumla ya ulichopoteza kutoa jumla ya ushindi. 
Kwa mfano: TZS 1,000 Ulichopoteza ukitoa TZS 800 ushindi ukitoa TZS 100 Bonasi= Jumla ya ulicho poteza TZS 100
8. Kiasi cha juu cha beti ya bure ni TZS 12,000.
9. Beti ya bure inatumika ndani ya siku 3.
10. Beti za bure zinatakiwa kutumika kwenye mkeka wa mechi 2+ na odds zisizo pungua 2.50.
11. Beti zitakazochezwa kwenye michezo ya Jackpot na /au michezo ya V-League  haitofuzu  kwenye promosheni hii.
12. Beti zilizokataliwa na zilizohairishwa, droo beti na beti za cash out hazihesabu kuelekea mahitaji ya kuweka pesa au mahitaji kwa mauzo ya bonasi.
13. Ikiwa utafanya ombi la kutoa pesa kabla ya kufikia mahitaji ya bonasi, promosheni itafutwa na  Salio la bonasi na ushindi unaolingana vitaondolewa.
14. Promosheni hii haiwezi kuunganishwa na promosheni nyingine yoyote. Haiwezi kutumika kama mahitaji ya kufuzu kwa promosheni nyingine.
15. 10bet ina haki ya kuwasimamisha wachezaji kwenye promosheni endapo watajiusisha na vitendo vya udanganyifu.
16. Hizi T&C ziko chini ya vigezo na masharti ya 10bet na masharti ya promosheni 10bet kwa ujumla.


 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media