M-Pesa: 335599
Tigo Pesa: 335599
Michezo yote
Tafadhali ingia ili uweze kucheza
Mipangilio
Lugha:
 • Swahili
 • English
Maboresho ya odds moja kwa moja:
Washa kupokea mabadiliko ya moja kwa moja ya odds. Zima kutunza data.
EPL lucky draw.
Tiketi yako
kwenye zawadi
kabambe.

Hatua za kujipatia tiketi:

1. Weka pesa na 10bet.
2. Zungusha angalau TZS 2,000 kila siku kujipatia tiketi kwenye EPL Lucky Draw.
3. Jinsi unavyojipatia ticket Zaidi ndio unavyojitengenezea nafasi ya kuwa mshindi.

Angalia HAPA namba ya tiketi yako uliyo pata.

For the bettor.

Vigezo na Masharti:

1. 1. Mda wa mashindano utaanza 06:01 usiku (GMT+3) tarehe 6 Agosti 2022 hadi 05:59 usiku (GMT+3) tarehe 22 Agosti 2022.
2. 2. Shindano linapatikana tu kwa wateja ambao wana akaunti na 10bet na wana umri wa zaidi ya miaka 18.
3. Watu waliojitoa wanaweza wasishiriki kwenye shindano.
4. Multi-bet isiyopungua thamani ya TZS 2,000 inahitajika ili kupata tiketi ya kushiriki shindano la Rudi Mchezoni na 10bet. Multi-bet inatambulika kama mkeka wenye chaguo 2 au zaidi ndani yake.
5. Ili mteja afuzu kupata tiketi, jumla ya thamani ya odds ya mkeka lazima iwe 1.50 au zaidi.
6. Dau za EPL zitakazowekwa baada ya tarehe 1 Agosti pia zitachangia kupata tikiti.
7. Kila multi-bet yenye thamani ya TZS 2,000 ni sawa na tiketi moja (1) katika droo ya kila siku na huchangia alama kwa mteja kwenye Ubao wa Alama wa shindano la Rudi Mchezoni na 10bet.
7.1 Mfano. Iwapo mteja atacheza multi-bet ya TZS 4,000, mteja atastahili kupata tiketi mbili (2) (TZS 4,000 ÷ TZS 2,000 = tiketi 2)
8. Tiketi zinafanyiwa mahesabu kwa kila mkeka na fedha chini ya bei kamili ya tiketi hazitaingizwa kwenye mkeka unaofuata.
8.1 Mfano. Iwapo mteja atacheza multi-bet ya TZS 4,300, TZS 4,000 zitamwezesha mteja kupata tiketi 2, ila TZS 300 zilizosalia zitapuuzwa na haziwezi kubebwa hadi kwenye mkeka unaofuata.
9. Bonasi ya 10bet ya tiketi kila siku itawaruhusu wateja kupata tiketi za bonasi ili kufikia thamani za jumla za kila siku kwenye multi-bet zifuatazo:
Ikiwa jumla ya thamani ya multi-bet kwa siku moja ni kati ya TZS 6,000 – TZS 9,999 mteja atafuzu kupata tiketi 2 za bonasi kuelekea droo ya kila siku na pointi 2 kwenye ubao wa alama;
Ikiwa jumla ya thamani ya multi-bet kwa siku moja ni kati ya TZS 10,000 – TZS 14,999 mteja atafuzu kupata tiketi 4 za bonasi kuelekea droo ya kila siku na pointi 4 kwenye ubao wa alama;
Ikiwa jumla ya thamani ya multi-bet kwa siku moja ni kati ya TZS 15,000 – TZS 19,999 mteja atafuzu kupata tiketi 6 za bonasi kuelekea droo ya kila siku na pointi 6 kwenye ubao wa alama;
Ikiwa jumla ya thamani ya multi-bet kwa siku moja ni kati ya TZS 20,000 – TZS 29,999 mteja atafuzu kupata tiketi 8 za bonasi kuelekea droo ya kila siku na pointi 8 kwenye ubao wa alama;
Ikiwa jumla ya thamani ya multi-bet kwa siku moja ni TZS 30,000 au zaidi, mteja atafuzu kupata tiketi 12 za bonasi kuelekea droo ya kila siku ikijumuisha na pointi 12 kwenye ubao wa alama.
10. Beti za bure au bila malipo hazifuzu kwa shindano la Rudi Mchezoni na 10bet.
11. Dau zilizotulia pekee ndizo zitafuzu kwa tikiti za shindano hili, hii ni pamoja na dau za kushinda na kushindwa.
12. Mikeka batili au iliofutwa, mikeka ya droo na mikeka ilio cash out haichangii mahitaji ya mauzo.
13. Wateja wanaweza kupitia ukurasa wa tiketi kuangalia jumla ya namba za tiketi ambazo amezikusanya.
Namba za tiketi zitawekwa mara moja kwa siku mida ya asubuhi kwa kipindi cha msimu wa mashindano

14. Wateja pia wataweza kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja kupitia jukwaa letu la chati za moja kwa moja kwenye tovuti yetu, wakati wowote kufahamu jumla ya idadi ya tiketi alizotengeneza.
15. Hakuna kikomo kwa idadi ya tiketi ambazo mteja mmoja anaweza kutengeneza.
16. Mteja hawezi kushinda Zawadi zaidi ya moja za Kila Siku zilizoorodheshwa katika kifungu cha 18, kwa kipindi cha shindano la Rudi Mchezoni na 10bet.
17. Mteja anastahili kujishindia kwa Wiki bonasi ya TZS 1,000,000 pesa taslimu zaidi ya mara moja wakati wa shindano la Rudi Mchezoni na 10bet.
18. Wateja wana nafasi ya kujishindia zawadi zifuatazo:
18.1 Zawadi za kIla Siku:
a) Kuanzia Jumanne hadi Ijumaa: Wateja waliochaguliwa bila mpangilio watashinda vifurushi 2x vya Ligi EPL. Vifurushi ni pamoja na:
Kifurushi cha DSTV chenye dishi la satelaiti, kisimbuzi cha DSTV, na usajili wa miezi 2 kwenye shada la DSTV ili kutazama michezo ya EPL; 
Jezi ya timu ya EPL ya mteja (au mbadala ikiwa haipatikani).
b) Droo Kubwa ya Jumatatu ambapo Wateja waliochaguliwa bila mpangilio watashinda Vifurushi 4x vya EPL. Vifurushi ni pamoja na:
Kifurushi cha DSTV chenye dishi la satelaiti, kisimbuzi cha DSTV, na usajili wa miezi 2 kwenye shada la DSTV ili kutazama michezo ya EPL;
Jezi ya timu ya EPL ya mteja (au mbadala ikiwa haipatikani).
Pesa taslimu TZS 30,000.
18.2 Zawadi za kila Wiki:
Kila Jumatatu, mteja ambaye amepata tiketi nyingi zaidi katika wiki iliyopita atapata zawadi ya pesa taslimu TZS 1,000,000.
18.3 Zawadi za Ubao wa alama:
Nafasi ya 1 = Smartphone Samsung Galaxy A73 5G;
Nafasi ya 2 na ya 3 = Smartphone Samsung Galaxy A53 5G;
Nafasi ya 4 - 10 = Smartphone Samsung Galaxy A23;
Nafasi ya 11 - 30 = Jezi ya timu ya EPL ya mteja (au mbadala ikiwa haipatikani).
Nafasi ya 31 – 40 = Pesa taslimu TZS 20,000 zilizowekwa kwenye akaunti ya 10bet ya mteja;
Nafasi ya 41 – 50 = Pesa taslimu TZS 10,000 zilizowekwa kwenye akaunti ya 10bet ya mteja.
19. Washindi wa zawadi za kila siku watachaguliwa kupitia droo ya bahati nasibu kutoka kwa tiketi zote halali ambazo zilipatikana siku iliyopita. Droo itafanyika Jumatatu - Ijumaa katika Ofisi ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania mbele ya afisa kutoka Bodi hiyo.
20. Washindi wa zawadi za kila siku baada ya hapo watatangazwa moja kwa moja hewani kwenye kipindi cha “Jioni ya Leo” kinachorushwa na EFM na kipindi cha “Amplifaya” kwenye kituo cha redio cha Clouds FM. Washindi pia watawekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya 10bet, yaani Facebook, Instagram na Twitter.
21. Matangazo ya washindi wa zawadi za kila siku yatafanyika Jumatatu - Ijumaa.
22. Tiketi zilizopatikana Ijumaa, Jumamosi na Jumapili zitaingia kwenye Droo ya Kubwa ya Jumatatu itakayotangazwa Jumatatu tarehe 8 Agosti 2022; 15 Agosti 2022 na 22 Agosti 2022.
23. Washindi wa zawadi za kila siku watawasiliana na timu ya Huduma kwa Wateja ya 10bet ili kupanga taratibu za upatikanaji wa zawadi zao. Uwasilishaji wa zawadi za kila siku unaweza kuchukua hadi siku 7 kutoka tarehe ya uteuzi. Washindi watahitajika kutuma taarifa zifuatazo ikiwa ni pamoja na viambatanisho vilivyoombwa: Jina kamili, uthibitisho wa utambulisho, tarehe ya kuzaliwa, barua pepe (ikiwa ni kama hiyo), anwani ya makazi. Baada ya uthibitishaji kukamilika kutoka kwa timu yetu ya Huduma kwa Wateja, Wateja wataarifiwa kupitia simu kuhusu maelezo ya uwasilishaji wa zawadi yao.
24. Washindi wa zawadi za kila wiki watachaguliwa kulingana na mteja wa 10bet ambaye amepata tiketi nyingi zaidi ndani ya wiki (Jumatatu 06:01 usiku GMT+3 – Jumapili 05:59 usiku GMT+3). Washindi wa kila wiki watatangazwa moja kwa moja hewani kwenye kipindi cha Amplifaya kwenye kituo cha redio cha Clouds FM na pia watawekwa kwenye mitandao ya kijamii ya 10bet tarehe 15 Agosti 2022 na 22 Agosti 2022.
25. Washindi wa zawadi za kila wiki watapata pesa taslimu TZS 1,000,000 kwenye akaunti yao ya 10bet ndani ya saa 24 baada ya mshindi kutangazwa.
26. Maingizo ya nafasi kwenye ubao wa alama yatafungwa Ijumaa tarehe 22 Agosti 2022 saa 05:59 usiku (GMT+3). Matokeo ya mwisho ya ubao wa alama yatapatikana kwenye tovuti na kwenye mitandao ya kijamii ya 10bet (Facebook, Instagram na Twitter) ifikapo tarehe 26 Agosti 2022.
27. Wateja 30 wa juu kwenye ubao wa alama, watawasiliana moja kwa moja na timu ya Huduma kwa Wateja ya 10bet ili kupanga upatikanaji wa zawadi zao. Washindi watahitajika kutuma taarifa zifuatazo ikiwa ni pamoja na viambatanisho vilivyoombwa: Jina kamili, uthibitisho wa utambulisho, tarehe ya kuzaliwa, barua pepe (ikiwa ni kama hiyo), anwani ya makazi. Baada ya uthibitishaji kukamilika kutoka kwa timu yetu ya Huduma kwa Wateja, Wateja wataarifiwa kupitia simu kuhusu maelezo ya uwasilishaji wa zawadi yao.
28. Zawadi kwa wateja 30 Bora kwenye ubao wa alama zitawasilishwa kufikia tarehe 31 Agosti 2022. Ucheleweshaji wowote wa mchakato wa uthibitishaji kama ilivyotajwa katika kipengele cha 25 utaongeza muda wa utoaji wa zawadi moja kwa moja.
29. Akaunti 31-50 Bora za wateja zitawekwa zawadi zao za pesa taslimu husika na wataarifiwa kupitia SMS kabla ya tarehe 26 Agosti 2022.
30. Swali la kila siku (Jumatatu-Ijumaa) la 10bet EPL litaulizwa moja kwa moja kwenye kipindi cha “Jioni ya Leo” cha EFM na kwenye kipindi cha “Amplifaya” cha Clouds FM. Mtangazaji atasoma swali ambalo wasikilizaji watapata fursa ya kupiga simu na kujibu. Ikiwa msikilizaji atatoa jibu sahihi, atapokea pesa taslimu Tsh10,000 zitakazowekwa kwenye akaunti yake ya 10bet na ikiwa atakuwa amecheza multi-bet na 10bet siku hiyo (kabla ya simu) zawadi ya fedha itaongezeka mara mbili hadi Tsh20,000.
31. Kwa kuingia kwenye shindano, Wateja wanakubali:
• kushiriki katika utangazaji unaofaa na matumizi ya jina na picha zao, utangazaji huo upo chini ya haki ya washindi ya kukataa kushiriki katika shughuli kama hizo.
• kwamba 10bet inaweza kukusanya na kuchakata taarifa zako binafsi kwa madhumuni ya shindano hili.
32. 10bet inahifadhi haki ya kusimamisha wateja kutoka kwa shindano kutokana na shughuli za udanganyifu.
33. 10bet inahifadhi haki ya kubadilisha masharti ya zawadi na/au kutofautiana, kusimamisha au kughairi shindano kwa hiari yake kwa sababu yoyote ile na bila taarifa, baada ya kuidhinishwa na GBT, kabla ya kuchapisha mabadiliko kwenye tovuti ya 10bet. Katika tukio kama hilo unaachilia haki au matarajio yoyote ambayo unaweza kuwa nayo dhidi ya 10bet na kukubali kuwa hutakuwa na majibu au madai yoyote ya aina yoyote dhidi ya 10bet.
34. Hivi Vigezo na Masharti viko chini ya Vigezo na Masharti ya Jumla ya 10bet na Masharti ya Jumla ya Promosheni ya 10bet, yanayopatikana kwenye tovuti yetu, ambayo wateja lazima wayakubali kwa pamoja.
35. Kwa kuingia na kushiriki na/au kukubali zawadi yoyote, wanao ingia, washiriki na/au washindi hapa wanafidia, kuachilia na kushikilia 10bet, Wakurugenzi wake, wafanyakazi, mawakala, wasambazaji na wakandarasi bila madhara kutokana na dhidi ya vitendo, madai na/au. dhima ya kuumia, hasara, uharibifu, gharama, madai na/au uharibifu wa aina yoyote unaotokana na yote au sehemu, moja kwa moja au kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutokana na kushiriki katika shindano, na/au matumizi, kukubalika au kumiliki tuzo.
36. Iwapo mteja anayeshinda atashindwa kutoa taarifa zote zinazofaa na viambatanisho vilivyoombwa ndani ya muda wa siku 30 kuanzia tarehe ya ombi, 10bet itatafuta mwongozo wa GBT kuhusu zawadi ambayo haijadaiwa.
37. Kila mteja anayeshiriki katika shindano atachukuliwa kuwa amekubaliana na kukubali vigezo na masharti haya, Vigezo na Masharti ya Jumla ya 10bet na Masharti ya Jumla ya Promosheni ya 10bet, kwa mujibu wa ushiriki.


 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media
 • Facebook
 • Twitter
 • Instagram
 • Whatsapp
 • Telegram
 • Social media