Tigo Pesa — Njia ya kuweka pesa kwa mtandao wa tigo pesa kwenye akaunti yako ya 10bet.
Ada: Inategemeana na viwango vya mtandao husika
Muda wa Mchakato: Papo hapo
Kima cha Chini: TZS 100
Kima cha Juu: TZS 10,000,000
Kuweka pesa kwa kutumia Tigo njia ya mtandao:
Baada ya kuingia kwenye akaunti yako,
- Upande wa juu bofya kitufe kilicho andikwa "Weka Pesa".
- Utachagua mtandao wako husika ambao ni Tigo (Muhimu)
- Utaandika kiasi cha pesa unachohitaji kuweka (kiwango cha chini ni 100/=)
- Bofya “Weka Pesa”
- Weka Namba ya siri punde tu kidokezo kitakapotokea
Kwenye simu yako utapokea ujumbe, utaweka namba ya siri kuthibitisha muamala. Salio la akaunti yako ya 10Bet litaongezeka moja kwa moja.