Inadhaminiwa rasmi na 10bet.

Inadhaminiwa rasmi na 10bet.

10bet inayofuraha kuwa mdhamini wa Dodoma Jiji kwenye Ligi kuu ya Tanzania.
Timu hiyo kutoka Dodoma inayovalia bluu na nyeupe pia itavaa nembo ya 10bet msimu huu inapokwenda kuwania ubingwa Tanzania.
Umefanikiwa kuchagua kuingia.
Timu ya mpira wa miguu Dodoma jiji, iliyo kuwa ikijulikana kama Polisi Dododma ni timu mpya iliyo undwa chini ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma.
Kwa ushiriki mkubwa kutoka kwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa, Klabu hiyo iliundwa katika juhudi za kuendeleza maendeleo ya Michezo ndani ya Mji Mkuu wa Tanzania, ikilenga kuimarisha sekta ya mpira wa miguu na kuongeza mshikamano kati ya watu ndani na nje ya mkoa. Klabu italeta hamasa na nguvu mpya kuelekea kufikia lengo hili.
Umefanikiwa kuchagua kuingia.