Vigezo na masharti:
1. Bonasi ya Multi-bet inakubalika kwenye mechi ambazo hazijaanza na mechi zinazoendelea kwenye michezo yote, ligi na michuano inajumuisha na mikeka ya Jumla. Mikeka inayo jumuisha michezo ya Virtual haikidhi vigezo vya bonasi.
2. Multi-bet bonasi inatumika wakati wa kuweka matokeo ya mkeka wa mechi nyingi kama ilivyoandikwa kwenye vigezo hivi.
3. Multi-bet bonasi inawekwa kwa njia ya asilimia, juu ya odds zilizopo kwenye masoko na zitaongezwa kama "Ushindi wa Ziada" kwa jumla ya malipo ya mkeka wa mechi nyingi uliobetiwa. Hesabu zake ni kama ifuatavyo:
Dau* jumla ya odds* Multi-bet bonasi % = Ushindi zaidi.
Kwa mfano, unaweka chaguzi 5 multi-bet ya TZS 1,000 na jumla ya odds 5.0, unafudhu kwa 10% bonasi.
1,000*5*10% = TZS 500 ' Ushindi zaidi' juu ya ushindi wa kawaida wa TZS 5,000.
4. 'Ushindi wa Ziada"" utawekwa kwenye akaunti yako pale mkeka wako utakaposhinda na hakuna masharti mengine yoyote.
5. Multi-bet bonasi 'Ushindi wa Ziada"" utawekwa kama ifuatavyo:
Chaguzi |
Bonasi |
3 |
3.0% |
4 |
5.0% |
5 |
10.0% |
6 |
12.0% |
7 |
13.0% |
8 |
15.0% |
9 |
16.0% |
10 |
17.0% |
11 |
18.0% |
12 |
19.0% |
13 |
20.0% |
14 |
21.0% |
15 |
22.0% |
16 |
25.0% |
17 |
27.0% |
18 |
32.0% |
19 |
37.0% |
20 |
45.0% |
21 |
50.0% |
22 |
55.0% |
23 |
60.0% |
24 |
65.0% |
25 |
75.0% |
26 |
85.0% |
27 |
95.0% |
28 |
105.0% |
29 |
110.0% |
30 |
120.0% |
31 |
130.0% |
32 |
145.0% |
33 |
160.0% |
34 |
175.0% |
35 |
190.0% |
36 |
210.0% |
37 |
230.0% |
38 |
260.0% |
39 |
280.0% |
40 |
300.0% |
41 |
325.0% |
42 |
350.0% |
43 |
375.0% |
44 |
400.0% |
45 |
500.0% |
46 |
600.0% |
47 |
700.0% |
48 |
800.0% |
49 |
900.0% |
50 |
1,000.0% |
6. Kila chaguzi lazima ziwe na odds angalau 1.20.
7. Kiwango cha juu cha Ushindi wa Ziada ni TZS 10,000,000.
9. Mikeka itakayobetiwa kwa jumla au nusunusu kwa kutumia mkeka wa bure na/au mikeka ya cashout basi haitostahili kuwa na bonasi ya Multi-bet.
10. Multi-bet bonasi inapatikana kwenye beti zilizo bashiriwa kwa pesa ya bonasi.
11. 10bet ina haki ya kuondoa ‘Ushindi wa Ziada’ endapo kati ya chaguzi za mkeka wenye mechi zaidi ya moja itaghairishwa, kukiwa na tatizo la kiufundi au vitendo vya ulaghai.
12. Jumla ya ushindi (Ushindi wa kawaida + Bonasi ‘Ushindi wa Ziada’) inahusika na makato ya 15% kodi ya ushindi kama sheria za TRA zinavyosema.
13.10bet ina haki ya kubadili, kufuta, kudai, au kukataa promosheni yoyote kwa itakavyoamua kwa mtazamo wake.
14. Vigezo na Masharti hivi ni moja ya Vigezo na Masharti ya jumla ya 10bet.