Cheza Wheel of Fortune kufungua spin za bure kila siku na ushinde beti za bure za hadi TZS 200,000!
Hatua mbili za kupata spini yako ya bure:
1. Fikisha TZS 7,500+ kwa siku, kwa kuweka mkeka wenye jumla ya odds zisizopungua 1.50 katika mchezo wowote.
2. Ingia kwenye akaunti yako siku moja baada kudai Spin kwenye Wheel of Fortune na uweze kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya beti ya bure kuanzia TZS 2,500 hadi TZS 200,000.
For the bettor.
Umefanikiwa kuchagua kuingia.
Vigezo na masharti:
1. Muda wa promosheni- kuanzia 00:01 EAT Jumatatu mpaka 23:59 EAT Jumapili kila wiki.
2. 10bet Wheel Of Fortune inaweza kufunguliwa na kila mchezaji mara moja kwa kila siku.
3. Kupata Spin ya bure ya 10bet Wheel of Fortune, mchezaji anahitajika kutengeneza kiasi si chini ya TZS 7,500.
4. Spini ya bure itatolewa katika siku inayofuata
4.1. Wachezaji watakaopata spini ya bure, watajulishwa kwa njia ya SMS katika siku inayofuata.
4.2. Spin za bure zinapatikana kwenye tovuti pekee.
5. Zawadi za kushinda kwenye Wheel of fortune ya 10bet:
• TZS 2,500 Beti
• TZS 10,000 Beti
• TZS 50,000 Beti
• TZS 200,000 Beti
• Bure Spin
6. Bet ya bure atakayoshinda kutoka 10bet Wheel of Fortune itatumika kwa siku 3 tu.
7. Bet ya bure utakayoshinda kutoka 10bet Wheel of Fortune unaweza kutumia kwenye mchezo wa mechi moja au Zaidi ya moja wenye odds si chini ya 1.50.
8. Mchezaji atakaye fungua 10bet Wheel of Fortune atajipatia Spin ( 1 ) kwa siku, Spin nyingine ataweza zipata akishinda mchezo.
9. Promosheni hii haiwezi kuunganishwa na promosheni nyingine yoyote. Haiwezi kutumika kama mahitaji ya kufuzu kwa promosheni nyingine.
10. 10bet ina haki ya kuwasimamisha wachezaji kwenye promosheni endapo watajiusisha na vitendo vya udanganyifu.
11. Hizi T&C ziko chini ya vigezo na masharti ya 10bet na masharti ya promosheni 10bet kwa ujumla.